Ufafanuzi wa fefe katika Kiswahili

fefe

nominoPlural mafefe

  • 1

    majani marefu yanayotumika kwa kuezekea.

  • 2

    nyasi ndogo.

Matamshi

fefe

/fɛfɛ/