Ufafanuzi wa fefefe katika Kiswahili

fefefe

kielezi

  • 1

    moja kwa moja; kabisa; agh. husisitiza kifo.

    ‘Amekufa fefefe’

Matamshi

fefefe

/fɛfɛfɛ/