Ufafanuzi wa feleti katika Kiswahili

feleti

kitenzi elekezi

  • 1

    lipa deni au fedha ili mtu awe huru au afunguliwe; weka huru.

    fungua, burai, samehe, komboa, dhamini

  • 2

    kimbia, toroka, chomoka

Asili

Kar

Matamshi

feleti

/fɛlɛti/