Ufafanuzi msingi wa feri katika Kiswahili

: feri1feri2

feri1

nominoPlural feri

  • 1

    chombo cha kusafiria majini kinachotumiwa kuvushia watu na mizigo kutoka ng’ambo moja hadi nyingine.

    pantoni, kivuko

Asili

Kng

Matamshi

feri

/fɛri/

Ufafanuzi msingi wa feri katika Kiswahili

: feri1feri2

feri2

nominoPlural feri

  • 1

    mahali watu wanapopandia pantoni.

Asili

Kng

Matamshi

feri

/fɛri/