Ufafanuzi wa feruwili katika Kiswahili

feruwili

nominoPlural feruwili

  • 1

    kigurudumu cha chuma chenye menomeno kinachokaa kwenye gurudumu la nyuma la baiskeli au pikipiki na huambatana na mnyororo ili kulifanya gurudumu lizunguke.

Asili

Kng

Matamshi

feruwili

/fɛruwili/