Ufafanuzi wa ficha katika Kiswahili

ficha

kitenzi elekezi

  • 1

    weka kitu mahali ambapo jicho halitaona.

    ‘Ficha aibu’
    banza, fuchama, funika, sitiri

  • 2

    kataa kuonyesha, kueleza au kujulisha.

Matamshi

ficha

/fit∫a/