Ufafanuzi msingi wa fidhuli katika Kiswahili

: fidhuli1fidhuli2

fidhuli1

nominoPlural mafidhuli

  • 1

    mtu mwenye jeuri; mtovu wa adabu.

    mjuba, mjeuri, safihi

Asili

Kar

Matamshi

fidhuli

/fiðuli/

Ufafanuzi msingi wa fidhuli katika Kiswahili

: fidhuli1fidhuli2

fidhuli2

kivumishi

  • 1

    -enye ujeuri; -enye ujuvi.

    safihi

Asili

Kar

Matamshi

fidhuli

/fiðuli/