Ufafanuzi wa fidi katika Kiswahili

fidi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  toa malipo kwa ajili ya hasara au maumivu yaliyofanywa; toa fidia au dia.

 • 2

  kuwa na faida.

  faa

 • 3

  tosheleza haja.

  kifu

Matamshi

fidi

/fidi/