Ufafanuzi wa fifia katika Kiswahili

fifia

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    potewa na nguvu; kuwa nyonge.

    dhii, dhoofu, konda, nywea, zingia, sinyaa

  • 2

    punguka rangi, hasa nguo.

    parara, kwajuka

Matamshi

fifia

/fifija/