Ufafanuzi wa figili katika Kiswahili

figili

nominoPlural figili

  • 1

    mboga ya majani ambayo ina mzizi mweupe na majani mapana ambayo huliwa, yakiwa mabichi, pamoja na chakula.

Asili

Kar

Matamshi

figili

/figili/