Ufafanuzi wa figo katika Kiswahili

figo

nominoPlural mafigo

  • 1

    kiungo cha mwili wa binadamu, wanyama na ndege chenye umbo kama la harage na kinachofanya kazi ya kuchuja na kusafisha damu.

    nso, buki

Matamshi

figo

/figɔ/