Ufafanuzi msingi wa fika katika Kiswahili

: fika1fika2

fika1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

 • 2

  kuwa tayari.

  ‘Wakati umefika’
  wadia

 • 3

  timia

Matamshi

fika

/fika/

Ufafanuzi msingi wa fika katika Kiswahili

: fika1fika2

fika2

kielezi

 • 1

  bila ya shaka yoyote; kwa hakika.

  kabisa

Matamshi

fika

/fika/