Ufafanuzi wa fikiri katika Kiswahili

fikiri

kitenzi elekezi

  • 1

    tumia ubongo kutatua tatizo au kuelewa zaidi jambo; tia moyoni.

    waza, tafakari, kadiri, taamali

  • 2

    kutokuwa na hakika kamili.

    dhani

Asili

Kar

Matamshi

fikiri

/fikiri/