Ufafanuzi wa filamu katika Kiswahili

filamu

nominoPlural filamu

  • 1

    ukanda wa ng’amba unaotumiwa kupigiwa picha kwa kamera.

  • 2

    maonyesho ya sinema.

    picha

Asili

Kng

Matamshi

filamu

/filamu/