Ufafanuzi wa fileti katika Kiswahili

fileti

nominoPlural fileti

  • 1

    kipande cha nyama ya mnofu laini usio na mfupa, agh. wa mnyama au samaki.

    ‘Bei ya fileti imepanda’

Asili

Kng

Matamshi

fileti

/filɛti/