Ufafanuzi wa filihali katika Kiswahili

filihali

kielezi

  • 1

    sasa hivi; hapohapo.

    ‘Fedha papo hapo’
    halani, ajilani

Asili

Kar

Matamshi

filihali

/filihali/