Ufafanuzi wa finginya katika Kiswahili

finginya

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    piga mapindi k.v. afanyavyo nyoka wakati akiuliwa.

  • 2

    chezesha matako ngomani au katika mwendo.

Matamshi

finginya

/fingiɲa/