Ufafanuzi wa finiksi katika Kiswahili

finiksi

nominoPlural finiksi

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    ndege dhahania anayesimuliwa katika hadithi kuwa ana uwezo wa kuishi miaka mingi, hufa kwa kujiunguza na kisha kuzaliwa tena kutoka kwenye jivu.

Asili

Kng

Matamshi

finiksi

/finiksi/