Ufafanuzi wa finyaa katika Kiswahili

finyaa

kitenzi sielekezi~ika, ~isha, ~lia

  • 1

    kunjamana kwa ngozi au kunyauka kama mzee.

    konda, via, dumaa, via, sinyaa

Matamshi

finyaa

/fiɲa:/