Ufafanuzi msingi wa fira katika Kiswahili

: fira1fira2

fira1

kitenzi elekezi

  • 1

    tia tupu ya mbele ya mwanamume kwenye tupu ya nyuma ya mtu mwingine.

    lawiti

Matamshi

fira

/fira/

Ufafanuzi msingi wa fira katika Kiswahili

: fira1fira2

fira2 , firi

nomino

  • 1

    nyoka wa rangi ya kijivujivu asiyeuma bali hutemea watu mate ya sumu.

    swila

Asili

Kar