Ufafanuzi wa firigisa katika Kiswahili

firigisa

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    laza chini na kuvingirisha huku na huku.

  • 2

    tapakaza mchanga, tope au udongo chini.

  • 3

    piga mtu.

Matamshi

firigisa

/firigisa/