Ufafanuzi wa fitina katika Kiswahili

fitina

nominoPlural fitina

  • 1

    maneno ya kuleta ugomvi.

    chonza, fakachi, fihi, uadui, chuki, uchongezi

Asili

Kar

Matamshi

fitina

/fitina/