Ufafanuzi wa fitini katika Kiswahili

fitini

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tia ugomvi baina ya watu; tia fitina.

    saliti, fisidi

Asili

Kar

Matamshi

fitini

/fitini/