Ufafanuzi wa fitiri katika Kiswahili

fitiri, fitri

nominoPlural fitiri

Kidini
  • 1

    Kidini
    sadaka ya chakula kikuu hasa nafaka, ambacho hakijapikwa inayotolewa na Waislamu baada ya kumalizika mfungo wa Ramadhani kabla ya kusali sala ya Idi.

  • 2

    Kidini
    sadaka ya pesa kwa kiwango kilichokubalika badala ya chakula; zaka ya mfungo.

Matamshi

fitiri

/fitiri/