Ufafanuzi wa fitokombo katika Kiswahili

fitokombo

nominoPlural fitokombo

  • 1

    mtaimbo ulio kwenye injini ya gari unaosaidia kuzungusha magurudumu.

Matamshi

fitokombo

/fitɔkɔmbɔ/