Ufafanuzi wa fizikia katika Kiswahili

fizikia

nomino

  • 1

    elimu ya hali na tabia za mata na nishati za ulimwengu, na mabadiliko yanayotokana na nishati hizo.

Asili

Kng

Matamshi

fizikia

/fizikija/