Ufafanuzi wa fiziolojia katika Kiswahili

fiziolojia

nominoPlural fiziolojia

  • 1

    sayansi inayohusu namna miili ya viumbe inavyofanya kazi.

Asili

Kng

Matamshi

fiziolojia

/fizijɔlɔʄija/