Ufafanuzi wa flamingo katika Kiswahili

flamingo

nominoPlural flamingo

  • 1

    ndege mwenye miguu mirefu myekundu, shingo ndefu na mwili wa rangi nyeupe wenye wekundu kiasi, agh. hupatikana kwenye maziwa.

    heroe

Asili

Kng

Matamshi

flamingo

/flamingɔ/