Ufafanuzi wa flora katika Kiswahili

flora

nomino

  • 1

    kundi la mimea na miti inayotamalaki dunia.

Asili

Kng

Matamshi

flora

/flɔra/