Ufafanuzi wa fokea katika Kiswahili

fokea

kitenzi elekezi

  • 1

    ambia mtu maneno makali kwa hasira.

    gombeza

Matamshi

fokea

/fɔkɛja/