Ufafanuzi wa fomeka katika Kiswahili
fomeka, fomaika
nominoPlural fomeka
- 1
kipande cha plastiki ngumu, isiyoyeyuka inapopata joto wala kukatika kwa urahisi, inayogandishwa juu ya vitu vingine k.v. meza au kifaa kingine kilichotengenezwa kwa ubao.
Asili
Kng