Ufafanuzi wa fondogoo katika Kiswahili

fondogoo

nominoPlural fondogoo

  • 1

    harufu mbaya ya vitu vibovu vyenye unyevunyevu na vilivyorundikwa pamoja; harufu ya vitu vya majimaji vilivyorundikwa pamoja.

  • 2

    harufu ya fukuto la uvundaji wa unga unaoanza kuoza au kuchacha.

Matamshi

fondogoo

/fɔndɔgɔ:/