Ufafanuzi wa fonetiki katika Kiswahili

fonetiki

nominoPlural fonetiki

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    taaluma ya isimu inayoshughulikia uchunguzi na uchambuzi wa sauti za lugha za binadamu kwa kuzionyesha mahali zinapotamkiwa na ala za sauti.

Asili

Kng

Matamshi

fonetiki

/fɔnɛtiki/