Ufafanuzi wa foni katika Kiswahili

foni

nominoPlural foni

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    namna ya kuandika fonimu moja inayotamkwa tofauti, k.m. [p] – [p] au [ph].

Asili

Kng

Matamshi

foni

/fɔni/