Ufafanuzi wa forodha katika Kiswahili

forodha

nominoPlural forodha

  • 1

    mahali pa kutozea ushuru wa vitu vinavyoingia au kutoka nchini; forodhani.

  • 2

    ‘Ushuru wa forodha’
    bandari, kikwezo

Asili

Kar

Matamshi

forodha

/fɔrɔða/