Ufafanuzi wa foromali katika Kiswahili

foromali

nominoPlural foromali

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    mti wa kufungia tanga jahazi, dau, n.k. ambao hushikiliwa na baraji na hamrawi na kufungwa katika henza.

Asili

Kar

Matamshi

foromali

/fɔrɔmali/