Ufafanuzi wa forosadi katika Kiswahili

forosadi

nominoPlural maforosadi

  • 1

    tunda laini la mforosadi linaloliwa, lenye mbegu manjano ndogondogo sana juu ya ngozi yake.

    stroberi

Asili

Kar

Matamshi

forosadi

/fɔrɔsadi/