Ufafanuzi wa fotoa katika Kiswahili

fotoa

kitenzi elekezi

  • 1

    piga picha kwa kamera.

Asili

Kng

Matamshi

fotoa

/fɔtɔwa/