Ufafanuzi wa fowadi katika Kiswahili

fowadi

nomino

  • 1

    mchezaji wa mpira wa nafasi ya mbele.

Asili

Kng

Matamshi

fowadi

/fɔwadi/