Ufafanuzi wa frenolojia katika Kiswahili

frenolojia

nominoPlural frenolojia

  • 1

    elimu ya kuchunguza umbile la mtu kama njia ya kutambua tabia yake.

Asili

Kng

Matamshi

frenolojia

/frɛnɔlɔʄija/