Ufafanuzi wa frikiki katika Kiswahili

frikiki

nomino

  • 1

    mpira unaopigwa kuelekea wavuni bila kufuatiliziwa na wachezaji wengine katika mchezo wa soka.

Asili

Kng

Matamshi

frikiki

/frikiki/