Ufafanuzi msingi wa fua katika Kiswahili

: fua1fua2fua3

fua1

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  tengeneza kitu kutokana na madini.

  ‘Fua dhahabu’
  ‘Fua jembe’
  sana, unda

 • 2

  safisha nguo kwa maji na sabuni.

 • 3

  ondoa makumbi kwenye nazi kwa kutumia kifuo cha mti au mtaimbo.

 • 4

  futa

Matamshi

fua

/fuwa/

Ufafanuzi msingi wa fua katika Kiswahili

: fua1fua2fua3

fua2

nominoPlural fua

 • 1

  rangi ya kahawia ambayo hupatikana katika mizizi ya miti inayotumika kubadilisha rangi ya kili.

Matamshi

fua

/fuwa/

Ufafanuzi msingi wa fua katika Kiswahili

: fua1fua2fua3

fua3

nominoPlural fua

Matamshi

fua

/fuwa/