Ufafanuzi wa fua dafu katika Kiswahili

fua dafu

msemo

  • 1

    weza jambo; mudu; shinda.

Ufafanuzi wa Fua dafu katika Kiswahili

Fua dafu

msemo

  • 1

    thubutu kufanya jambo, weza jambo; mudu.