Ufafanuzi wa fuata katika Kiswahili

fuata

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  enda au kuja nyuma au baadaye.

  andama, fuasa, inza

 • 2

  iga, tabii

 • 3

  kuwa mfuasi wa.

  tii, kalidi

 • 4

  kuwa pamoja na.

  ‘Fuata sheria’
  ambatana, andamachanjari

Matamshi

fuata

/fuwata/