Ufafanuzi wa fuawe katika Kiswahili

fuawe

nomino

  • 1

    chuma anachotumia mhunzi kwa kuwekelea chuma anachofua.

Matamshi

fuawe

/fuwaw…õ/