Ufafanuzi wa fuchama katika Kiswahili

fuchama

kitenzi elekezi

  • 1

    weka kitu kisionekane.

    ficha, funika

  • 2

    lalia kama afanyavyo kuku kuwaficha wanawe ndani ya mbawa zake; kumbatia kwa kuzingirisha mwili wote; lalia kifuani.

Matamshi

fuchama

/fut∫ama/