Ufafanuzi wa fudo katika Kiswahili

fudo

nominoPlural fudo

  • 1

    chombo kinachoweza kuchukua pishi kama mbili kwa kipimo cha mjao.

  • 2

    kitumba cha magome ya mti kinachoweza kuchukua zaidi ya pishi.

Matamshi

fudo

/fudɔ/