Ufafanuzi wa fufumaa katika Kiswahili

fufumaa

kitenzi sielekezi~lia, ~za

  • 1

    kuwa katika hali ya mzubao; kutochangamka.

    pooza

  • 2

    jikunyata au jiinamia kwa unyonge au maumivu.

Matamshi

fufumaa

/fufuma:/