Ufafanuzi wa fufumavu katika Kiswahili

fufumavu

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kufufumaa; -siyochangamka.

Matamshi

fufumavu

/fufumavu/