Ufafanuzi msingi wa fufuta katika Kiswahili

: fufuta1fufuta2

fufuta1

kitenzi elekezi

  • 1

    piga sana.

    kung’uta, bubuta, bumuta, buta, bobota

Matamshi

fufuta

/fufuta/

Ufafanuzi msingi wa fufuta katika Kiswahili

: fufuta1fufuta2

fufuta2

nomino

  • 1

    pigo kubwa.

Matamshi

fufuta

/fufuta/